Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu focus kwenye UE kwanza usije feliWakuu haka katoto ni kapya kabsa kwenye list,na maulana akijalia ndo nataka kaje kua mke yaan plan ni kukajaza mapemaaa..maana ni kazur balaaa.
Nataka nijiweke mazimaa,makandokando yoote nitupe huko...je umr huu haka katoto kwel tutaenda sawa?
N.b mi mwaka huu mwishon ndo naiaga 20s,naingia uwanda mwingne,..
Binti ana 20 net.
Sorry typing error hapo kwenye gape=gap......
Ukimwi umepima usije ukamuua binti wa watu bure kabla hajafikia malengo yake.Mkuu huyu mtoto siwez mwacha,..tutajifunza hukohuko ukubwan,maana mi mwenyew nimechafua saaana,halaf ni mtoto wa mjin,huyu mtoto ni mpole mzur mtakatifu,kananipenda sana kananiita mnyamwezi..so haka katoto nadhan ntaendana nako mkuu,...ntakavumilia kale ujana
Nmekwepa mishale ming hata wivu sina skuhiz,ila nahis mbele ya haka kabint wivu utakuepo.
Upepo wako ka wanguWakuu haka katoto ni kapya kabsa kwenye list,na maulana akijalia ndo nataka kaje kua mke yaan plan ni kukajaza mapemaaa..maana ni kazur balaaa.
Nataka nijiweke mazimaa,makandokando yoote nitupe huko...je umr huu haka katoto kwel tutaenda sawa?
N.b mi mwaka huu mwishon ndo naiaga 20s,naingia uwanda mwingne,..
Binti ana 20 net.
Sorry typing error hapo kwenye gape=gap......
Huu Uzi bnHebu focus kwenye UE kwanza usije feli
Kaswende na gono ambayo siyo ya damu uko safi?Mkuu nna damu safi kupita maelezo,siwez mfanyia mtoto wa watu unyama huo mkuu
Mkuu kaswende na gono ni magonjwa ya ngozi sehemu za siri ndiyo maana uambukizwaji wake huwa wa haraka sana.Mkuu hayo magonjwa yote ni kwenye damu mkuu,..wadudu hawakai nje ya damu
Ila mwanamke bwana anaweza fanya lolote kwa pesa hata km we ni hanith as long as una hela utamuoaMkuu hakuna mtu anaemsaidia yule mzee.had chup za yule dada zina vinasa saut mkuu
Mtaani kwetu kuna mzee ana miaka kama 55 hivi. Ana watoto 9 alozaa na mama.tofauti tofauti . Huyu mzee ni mtu wa bata sana msanii wa mjini na hajasoma. Baada ya kuona umri unamtupa mkono na hajaoa akaoa mdada mmoja bat mad nae mpuuzi tu. Akisafiri dada anatrmbea mpaka na wauza urembo wanaopita nyumbani kwake.juzi mwanzoni mwa mwaka dada alitoroka nyumbani na kwenda kuishi kusikojulikana.alivyoshinfwa na maisha akarudi na kumwambia mzee.alirubuniwa na jamaa hafi akampa papuchi.kwakua.mzee ni mpuizi akamdai jamaa fidia ya pesa ili wamalizanr ati kwakuwa anatrmbea na mkewe.kuwa makini sana na under ageWakuu haka katoto ni kapya kabsa kwenye list,na maulana akijalia ndo nataka kaje kua mke yaan plan ni kukajaza mapemaaa..maana ni kazur balaaa.
Nataka nijiweke mazimaa,makandokando yoote nitupe huko...je umr huu haka katoto kwel tutaenda sawa?
N.b mi mwaka huu mwishon ndo naiaga 20s,naingia uwanda mwingne,..
Binti ana 20 net.
Sorry typing error hapo kwenye gape=gap......