Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Daaah wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu, inshort nina wiki sina maelewano na demu wangu ambae tunakaa mbali mbali sasa na jamaa angu ambae ni msela yaani tunapatana utadhani sisi ni ndugu wa damu.
Juzi kati kampost FB demu wangu akaandika caption ya love is blind
Then demu wangu akaja kukomenti welcome back na makopakopa mengi ya love, daah wakuu nimechanganyikiwa na sipendi kugombana na mshikaji wangu kisa demu, nifanyaje?
Yaani nahisi hadi kuumwa