Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

Na wewe ungecoment makopa kopa ili wagundue umegundua sasa we kuona tu umekimbilia jf wewe ndio wale mkiona mende ndani mnawahi kuomba msahada kwa jirani.

Humu wanakujaga waliozidiwa jombaa we kwa Hali yako rudi nyumbani kaendekee kuchapa kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaa jama haja take any action tukaona amefeli wapi ndio tumsaidie.
 
daaah mkuu moyo moyo tatizo
Hii wiki nzima humu jf unamuimba huyo demu wako. Kila post unaomba ushauri na unashauriwa umuache ila baada ya siku moja unapost Tena kafanya hivi au vile. Hebu jitahidi kuishi kama mwanaume, usiishi kiume.
 
hamna mkuu tatizo moyo
Sisi tusiojua radha ya mapenzi tunacomment wapiii kulia lia tuliachaga kitambo.......


Achana na mapenziii ya kipumbavu ambayo yanakuharibia self-esteem ,kuwa mwanaume huyo mwanamke piga chini mzee unasubir Namba ya NIDA ndo uachane nae????

F@nn¥[emoji769]
 
daaah pamoja mkuu usijari
Kwanza pole lakini ushauri ni huu tafta pesa kijana ukiwa napesa unachangua uwe na nan ukiwa huna hela kila siku utakuja Jf kulia lia halafu jitahidi ukiwa na manzi mchachavye vizuri ili hata kama huna hela awe anakumbuka vitu flani sasa rafiki unaweza kuwa huna chapaa plus shoo mbovu kitandan unadhani hata mkumbuka yule anafikishaga kitonga? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hapana mkuu sema unajua nini moyo ndio tatizo, hata nikiwa kazini kuna muda najikuta tu namkumbuka huyo demu ila niliamua kufuta namba zake na kumblock whatsapp na instagram japo mda huu naumia ila najitahidi kumsahau
Hivi mapenzi ni kila kitu kwako?.Huna jambo lingine linalo ku-keep busy?
 
Fake is a possibility almost in all spheres of life, why not such account of ur best friend, check validity first. We don't chuck them easily without a commendable revenge.
 
Weka screenshot ya hiyo post ili na sisi tukakoment kule maana kwako tayari
 
Back
Top Bottom