Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

Hii wiki nzima humu jf unamuimba huyo demu wako. Kila post unaomba ushauri na unashauriwa umuache ila baada ya siku moja unapost Tena kafanya hivi au vile. Hebu jitahidi kuishi kama mwanaume, usiishi kiume.
 
Sisi tusiojua radha ya mapenzi tunacomment wapiii kulia lia tuliachaga kitambo.......


Achana na mapenziii ya kipumbavu ambayo yanakuharibia self-esteem ,kuwa mwanaume huyo mwanamke piga chini mzee unasubir Namba ya NIDA ndo uachane nae????

F@nn¥[emoji769]
 
Bro unakwama wapi si utafute demu mwingine

Demu akiwa mpya ana raha zake kila mda zinaingie sms baby upo wapi?

Sasa wewe umeshapewa chansi ya kutafuta demu mpya bado unalilia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole lakini ushauri ni huu tafta pesa kijana ukiwa napesa unachangua uwe na nan ukiwa huna hela kila siku utakuja Jf kulia lia halafu jitahidi ukiwa na manzi mchachavye vizuri ili hata kama huna hela awe anakumbuka vitu flani sasa rafiki unaweza kuwa huna chapaa plus shoo mbovu kitandan unadhani hata mkumbuka yule anafikishaga kitonga? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe kuhisi tu unalialia hvo,, Je ungewakuta wanagegedana si ndio ungezikwa na serikali usiku...

Kaa tulia, tafuta pesa na demu mwingine maisha yaendelee,, kama bado unampenda na unaona utavumilia maumivu hapo mbeleni basi endelea nae..

Thank me later.
 
Back
Top Bottom