Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kama unajua moyo wako bado unampenda, acha kusumbua watu ukiomba ushauri ambao hauwezi kuuzingatia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana naye! Kwanza kale ka pot honey kake hata hakatimii robo kilo, shida ya nini sasa?Daaah wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu, inshort nina wiki sina maelewano na demu wangu ambae tunakaa mbali mbali sasa na jamaa angu ambae ni msela yaani tunapatana utadhani sisi ni ndugu wa damu.
Juzi kati kampost FB demu wangu akaandika caption ya love is blind
Then demu wangu akaja kukomenti welcome back na makopakopa mengi ya love, daah wakuu nimechanganyikiwa na sipendi kugombana na mshikaji wangu kisa demu, nifanyaje?
Yaani nahisi hadi kuumwa
kwani umegongwa wewe?kaa pembeni,siti ishachukuliwa hiyoDaaah wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu, inshort nina wiki sina maelewano na demu wangu ambae tunakaa mbali mbali sasa na jamaa angu ambae ni msela yaani tunapatana utadhani sisi ni ndugu wa damu.
Juzi kati kampost FB demu wangu akaandika caption ya love is blind
Then demu wangu akaja kukomenti welcome back na makopakopa mengi ya love, daah wakuu nimechanganyikiwa na sipendi kugombana na mshikaji wangu kisa demu, nifanyaje?
Yaani nahisi hadi kuumwa
Kama mmeshibana unamuuliza tu kwani vipi ? kama ni jamaa yako haswa lazima aone aibu kukufanyia unyama.Daaah wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu, inshort nina wiki sina maelewano na demu wangu ambae tunakaa mbali mbali sasa na jamaa angu ambae ni msela yaani tunapatana utadhani sisi ni ndugu wa damu.
Juzi kati kampost FB demu wangu akaandika caption ya love is blind
Then demu wangu akaja kukomenti welcome back na makopakopa mengi ya love, daah wakuu nimechanganyikiwa na sipendi kugombana na mshikaji wangu kisa demu, nifanyaje?
Yaani nahisi hadi kuumwa
Nimecheka sana khaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wakaka wa FB
Pambania ugali wa hela yote pus**ies are many ww
team lia lia hao wapo wengi 🤣🤣Analia lia tu
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Ni mke au ni manzi tu? Kama ni manzi tu temana nae na msela temana nae pia.
Usiumwe kisa mambo ya kiwaki. Mbona kuna wanawake wengi tu kitaa.