Wakuu nahisi huyu jamaa ananigongea demu wangu

Huyo demu anatumia jina gani fb

Kama tu humu unajiita sharobaro was JF


Sijui huko FB unajiitaje jumlisha na avatar yako

Hizi mambo za uchakataji CEO no Zero IQ
 
Achana naye! Kwanza kale ka pot honey kake hata hakatimii robo kilo, shida ya nini sasa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani umegongwa wewe?kaa pembeni,siti ishachukuliwa hiyo
 
Kama mmeshibana unamuuliza tu kwani vipi ? kama ni jamaa yako haswa lazima aone aibu kukufanyia unyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SITASAHAU HILI

Mimi nikiwa A-Level kuna demu nilimpenda sana sana sana, nikawashirikisha washikaji wangu wa karibu kama wawili hivi mmoja alitumika kunishauri, mwingine alinisaidia kuongea na kumweka karibu. Coz wakati huo nilikuwa mtoto lakini pia domo zege. Aliyeenda kuongea naye aliongea naye vyema sana...nikawa naye kwa mda baadaye nikaona kama demu haeleweki eleweki...bahati nzuri tuenda wote chuo ila yeye alikuwa nyuma yangu. Nilianzisha tena vuguvugu akanielewa baada ya mda kama miezi miwili nilimkuta na rafiki yangu yule aliyenishauri, sikumaindi wala nini.Nikawatakia kila la kheri....

Nilianzisha vuguvugu lingine na mrembo mmoja dah...Namshukuru Mungu akanielewa mpaka sasa nipo naye tulifunga ndoa MAISHA NI MAZUUURI SANA TUNAPENDANA WOTE.

Sasa jamaa yangu (mshauri) naye alipigwa chini...mpaka sasa hajaoa na anapitia great depression ya mapenzi [emoji851].

USHAURI:
Kama ni demu/mke/mpenzi wako tayari kaonyesha si mwaminifu kwako. So achana naye anzisha vuguvugu lingine utampata unayempenda, tulia naye jengeni nyumba ya mapenzi mioyoni mwenu. HUTOJUITIA KUMWACHA HUYU WA SASA ASIYE MWAMINIFU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mke au ni manzi tu? Kama ni manzi tu temana nae na msela temana nae pia.

Usiumwe kisa mambo ya kiwaki. Mbona kuna wanawake wengi tu kitaa.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…