Wakuu, nahisi nina pepo la ngono

Wakuu, nahisi nina pepo la ngono

Macbook pro

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
722
Reaction score
1,030
Habari za mchana huu wakubwa, Poleni kwa misiba na Mihangaiko ya maisha ya kila siku!

Eeeh bhana, hebu Ngoja nielekee kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa Miaka 25+ nina Mke naishi naye. Eeeh bhana, Mke wangu ananipa utamu na anajitahidi sana kunijali kimwili. Hapa leo tuna mfululizo leo siku ya nne Napiga game usiku na asubuhi kila siku na show yenyewe ni nzuri mpaka kuna wakati anasema anahisi Moto unawaka kunako!

Ila nikitoka hapo asubuhi nikiingia kwenye mihangaiko ya hapa na pale, najikuta navutiwa kimapenzi na mwanamke atakaye pita mbele yangu hasa hasa awe na kamwili fulani kana nyama ila sio kitambi sana (Wakuu naamini mmenielewa) na Chura [emoji39][emoji39][emoji39] yaani naanza kuomba namba na bahati mbaya au nzuri nina ki Baby walker Changu wanawake hawachomoki yaani nikutekenya tu anakuambia sawa wewe tu ukiwa na nafasi niambie[emoji1].

Sasa leo mchana huu nimekaa nina waza sana, na hii imekuja baada ya kuongea na demu mmoja hivi anafanya kazi kwenye Fahari huduma fulani anaelekea ku tick [emoji736] ila nimemwambia sijaoa. Ila najiona kama ninamkosea huyu mke wangu..! Anajitahidi sana kunihudumia yaani kuna wakati nakuwa najiuliza hivi hii haki kweli ?? Na hapo nimecheza mechi kama mbili za ugenini [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]

Nahisi nina Pepo la Ngono aseee..! Wanaume wenzangu ambao mmeoa mnawezaje kuzikabili hizi changamoto. Hebu jaribu ku share uzoefu wako.! Najiskia vibaya kumfanyia haya huyu mwanamke wangu ila ndio hivyo najikuta nimetongoza mtu ila baadae ndio haya mawazo yabakuja.! [emoji41]

Akili yangu kama imejaa Hamu ya Mwanamke kila wakati daah [emoji31][emoji31]
 
Na huyu ni mmoja wa mawaziri wetu[emoji3][emoji3]

Kwahiyo wewe umeona hii maada ni ya kitoto sio ?? Anyway acha niheshimu akili yako. Huenda unaandika komenti umejaa hasira za ugumu wa Maisha
 
Dawa ni kulitupa hilo pepo au uliweke hapa tulipandie dau.

Usikubali kucheka na kima utavuna ngoma
 
Utakuwa umeridhika na hicho kidogo ulichonacho,sidhani kama hao wanawake wa nje unatembea nao bila ya kuingia gharama yoyote,kuanzia vocha,nauli,mahitaji madogo madogo,guest house n.k.lakini kama ungekuwa na mipango mikubwa zaidi ya hapo ulipofikia ungekuwa unapishana nao tu...
 
Utakuwa umeridhika na hicho kidogo ulichonacho,sidhani kama hao wanawake wa nje unatembea nao bila ya kuingia gharama yoyote,kuanzia vocha,nauli,mahitaji madogo madogo,guest house n.k.lakini kama ungekuwa na mipango mikubwa zaidi ya hapo ulipofikia ungekuwa unapishana nao tu...

Nimekuelewa Mkuu.! Japo hii ishu imeanza juz juzi mwanzo haikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom