Wakuu, nahisi nina pepo la ngono

Wakuu, nahisi nina pepo la ngono

acha corona itufaidi kama hawa ndo ma great thinker wetu... Unadhani kuna nini sasa

Wote nyie machoko tu.! Jf is nothing without MF jerks, i am not surprised to see you majestically commenting rubbish on serious matter. Period !
 
Vua nguo zote kisha nenda kwene kioo fungulia mziki anza kucheza huku unajiangalia msambwanda

Nna imani hasira zote zitaisha

IMG_0674.jpg

Karibu Wine Mkuu upozee hizo hasira zako, huenda hata ujinga uliono utapungua.
 
Utaratibu wa kulipia tangazo huku ukoje?maana na mimi nataka kuweka langu muda c mrefu
 
Ebu wekeza mkuu ili kesho uishi kama mfalume,najua unapata misimbazi kadhaa ukiongeza na hicho kijohn walker chako basi unahisi umeyapatia ila ukweli ni kuwa unayumba,

Utakuja kuumia sana zikitoweka maana utajutia na kuzikumbuka,maana maisha yanabadilika mkuu,pia kumbuka K haina shukrani zaidi ni kukutia hasara +maradhi ,,

Mwisho tegemea na kukisikiliza kichwa chenye nywele ,hicho cha chini usikiendekeze,maana kikisha kuponza kinabaki kukucheka huko kwenye boksa
 
Ninajitahidi ku invest Mkuu, sema hii ishu inakujaga tu. Namshukuru Mungu si haba Mungu amenijalia vi ofisi kadhaa siwezi kufuru ila natamani kuishinda hii hali
 
Habari za mchana huu wakubwa, Poleni kwa misiba na Mihangaiko ya maisha ya kila siku!

Eeeh bhana, hebu Ngoja nielekee kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa Miaka 25+ nina Mke naishi naye. Eeeh bhana, Mke wangu ananipa utamu na anajitahidi sana kunijali kimwili. Hapa leo tuna mfululizo leo siku ya nne Napiga game usiku na asubuhi kila siku na show yenyewe ni nzuri mpaka kuna wakati anasema anahisi Moto unawaka kunako!

Ila nikitoka hapo asubuhi nikiingia kwenye mihangaiko ya hapa na pale, najikuta navutiwa kimapenzi na mwanamke atakaye pita mbele yangu hasa hasa awe na kamwili fulani kana nyama ila sio kitambi sana (Wakuu naamini mmenielewa) na Chura [emoji39][emoji39][emoji39] yaani naanza kuomba namba na bahati mbaya au nzuri nina ki Baby walker Changu wanawake hawachomoki yaani nikutekenya tu anakuambia sawa wewe tu ukiwa na nafasi niambie[emoji1].

Sasa leo mchana huu nimekaa nina waza sana, na hii imekuja baada ya kuongea na demu mmoja hivi anafanya kazi kwenye Fahari huduma fulani anaelekea ku tick [emoji736] ila nimemwambia sijaoa. Ila najiona kama ninamkosea huyu mke wangu..! Anajitahidi sana kunihudumia yaani kuna wakati nakuwa najiuliza hivi hii haki kweli ?? Na hapo nimecheza mechi kama mbili za ugenini [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]

Nahisi nina Pepo la Ngono aseee..! Wanaume wenzangu ambao mmeoa mnawezaje kuzikabili hizi changamoto. Hebu jaribu ku share uzoefu wako.! Najiskia vibaya kumfanyia haya huyu mwanamke wangu ila ndio hivyo najikuta nimetongoza mtu ila baadae ndio haya mawazo yabakuja.! [emoji41]

Akili yangu kama imejaa Hamu ya Uchi wa Mwanamke kila wakati daah [emoji31][emoji31]
HEBU NIAMBIE KWANZA

UKIKAA MUDA MREFU BILA KULANA NA WIFE WAKO BADO ILE HALI YA KUTAKA NYAMA NYINGINE INAKUJA KATIKA KIWANGO GANI

USHAURI MWINGINE KABLA YA JIBU HAPO JUU FANYA KILA UNAPOTONGOZA WAAMBIE UKWELI UMEOA
 
Ebu wekeza mkuu ili kesho uishi kama mfalume,najua unapata misimbazi kadhaa ukiongeza na hicho kijohn walker chako basi unahisi umeyapatia ila ukweli ni kuwa unayumba,
Utakuja kuumia sana zikitoweka maana utajutia na kuzikumbuka,maana maisha yanabadilika mkuu,pia kumbuka K haina shukrani zaidi ni kukutia hasara +maradhi ,,
Mwisho tegemea na kukisikiliza kichwa chenye nywele ,hicho cha chini usikiendekeze,maana kikisha kuponza kinabaki kukucheka huko kwenye boksa

Ukiwa na Hela na pia muda ukawa nao,
Na pia ukawa kijana hasa makamo hayo.

Pepo unalo kweli,
Sali na tuliza akili . Utabadilika
 
HEBU NIAMBIE KWANZA

UKIKAA MUDA MREFU BILA KULANA NA WIFE WAKO BADO ILE HALI YA KUTAKA NYAMA NYINGINE INAKUJA KATIKA KIWANGO GANI

USHAURI MWINGINE KABLA YA JIBU HAPO JUU FANYA KILA UNAPOTONGOZA WAAMBIE UKWELI UMEOA

Tusipo kulana kwa muda sana urge ya kufanya inakuwa ni kubwa sana yaani hapo naweza nunua malaya Kabisa. Nimehangaika sana ila kununua malaya nafanyaga nikiwa Nje ya eneo au niko mbali na waifu. Wife ananijali na anajua wajibu wake na mimi najaribu kutafuta namna niiahinde hii hali nisimuumize huyu Mwanamke wangu..! Huenda akawa ndio Mke ambaye niliyepangiwa na Muumba sasa nikimpoteza inakuwa Hasara kubwa.!
 
mkuu unazijua papuchi vizuri wewe?

Mzee kuna raia zina akili kama ya Govi asee.! Yaani mtu nimeleta maada nikiwa nahitaji msaada wa Mawazo ili nitoke kwenye utumwa wa Pepo la Ngono alfu kuna jitu linasema sijui Great thinker sijui wamefanyaje ... Yaani ni watu wengine bhana i wish to punch them on their nose .!
Tuachane na hayo, ila hii ishu ni ngumu acha tu.
 
Back
Top Bottom