Delightie
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 138
- 201
Kwanza nikupe pole rafiki,lkn pia sisi ni binadamu na tunatofautiana mahitaji kimwili,kiuchumi na kiakili pia,kimwili tunajua kuwa ni dhaifu muda mwingine akili inapokataa mwili unakubali unajikuta umefanya hicho kitu,ushauri wangu anza mazoezi hata jioni au asubuhi kulingana na ratiba yako ilivo,hii angalau itasaidia mawazo ya kusex mara kwa mara yatapungua kiasi,kwa yote pole lkn usipanic pia kwani humu tuko watu wa aina mbalimbali kila mtu na mtizamo wake,all the best.