Wakuu, nahisi nina pepo la ngono

Kwanza nikupe pole rafiki,lkn pia sisi ni binadamu na tunatofautiana mahitaji kimwili,kiuchumi na kiakili pia,kimwili tunajua kuwa ni dhaifu muda mwingine akili inapokataa mwili unakubali unajikuta umefanya hicho kitu,ushauri wangu anza mazoezi hata jioni au asubuhi kulingana na ratiba yako ilivo,hii angalau itasaidia mawazo ya kusex mara kwa mara yatapungua kiasi,kwa yote pole lkn usipanic pia kwani humu tuko watu wa aina mbalimbali kila mtu na mtizamo wake,all the best.
 
Hiyo inasababishwa na majukumu kupungua mkuu alafu ukifuatilia sana utakuta huna hobby inayo kukeep busy. Unakuta pia hunywi pombe hufuatilii mpira aah sasa unafkiri utaacha kukimbiza totoz? Me naona mkuu jaribu kuwa na hobby na kitu fulani alafu pia pesa unayoipata iwekeze kwa kiasi kikubwa kama una viwanja jenga uishiwe pesa usikae na pesa nyingi kichwa ikapata moto zaidi jipe majukumu ya kutumia pesa yenye manufaa baadae ukiwa huna hela huezi tongoza hovyo.
 
Kama hukupitia haya mambo ukiwa na 18 mpk 23, usitegemee kutullia nA NDOA YAKO ina maana saivi ndio umejua papuchi utamu wake ukiwa huru sasa.

Akilli zako zinayumbishwa unatakiwa ukazeee hayo ni mambo ya kawaida .
 
Kabla sijaanza kusomesha nilikula zaidi ya papuchi 43 kuanzia za kununua mpaka za kutongoza, mpaka nikajiogopa. Toka nianze miradi, kusomesha na Loan board kunikata sasa hivi papuchi Sina mzuka nazo kabisa.

Jiweke bize na uwekezaji
 
Kabla sijaanza kusomesha nilikula zaidi ya papuchi 43 kuanzia za kununua mpaka za kutongoza, mpaka nikajiogopa. Toka nianze miradi, kusomesha na Loan board kunikata sasa hivi papuchi Sina mzuka nazo kabisa.

Jiweke bize na uwekezaji

Ngoja nijaribu kujiweka busy..! Huenda nikapona
 

Labda, nitajaribu kujiweka busy Mkuu
 
 
Kila jambo ni mtihani aidha ufaulu(ushukuru) ama ufeli(ukufuru)..

Jitathimini unafaulu ama unafeli..

Mimi nilikuwa kitombi labda zaidi ya ww, asikatishe mwali.. Addicted haswa wa ngono, Lakini baada ya kujifikiri vizuri, tathmini ya kutosha , kujiuliza KWANINI(WHY?) Nikachukua maamuxi magumu
Alhamdulillah, sasa makali yameisha kwa kiasi kikubwa,
Naelekea kuoa kabisa kuukata huu mzizi wa fitna..

Tamaa tumeumbiwa, tamaa ni tamaa tu, iwe ya ngono, pesa n.k, ukiendekeza tamaa utakwama sehemu tu.
 
Kama hukupitia haya mambo ukiwa na 18 mpk 23, usitegemee kutullia nA NDOA YAKO ina maana saivi ndio umejua papuchi utamu wake ukiwa huru sasa.

Akilli zako zinayumbishwa unatakiwa ukazeee hayo ni mambo ya kawaida .

Ngoja nijaribu kutafuta kitu kingine cha ziada cha kunifanya busy
 
 

Hongera sana Mkuu, ni changamoto sana hayo mambo wazee ..! Na pia Nikutakie kila lenye kheri kwenye Nikaa yako na ndoa Pia.
 

Nimeusoma uzi wako na nikauliza na swali namna ya kuliondoa swali ..! Jibu lako halijanisaidia lolote
 
Mkuu hicho ni kipawa ulichopewa na mwenyezi mungu wengine tushatumia mamilioni kutafuta hicho unachokiita pepo na daima tambua mwili ndo huongoza akili niliwahi kuona mtu anakunywa maji ya chooni tena machafu sana ambayo watu hutumia hadi kujisafisha baada ya kukata gogo kwa sababu tu mwili una kiu unahitaji maji ni lazima tu utakunywa
 
Kazana kuomba Mungu, atakusaidia.Maana kea MUNGU hakuna kinachoshindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…