Wakuu naomba kujua mshahara wa Lead generator kwa bank ya NBC

Ukishajua Mshahara itakusaidia nini??kama umepata Ajira Mshahara utauona kwenye Mkataba,kama umeitwa kwenye Interview kafanye kwanza Interview,hilo tu
 
Hongera mwamba umeshalamba mkataba tayari
 
Ukishajua Mshahara itakusaidia nini??kama umepata Ajira Mshahara utauona kwenye Mkataba,kama umeitwa kwenye Interview kafanye kwanza Interview,hilo tu
sasa kuna kazi ufanye bila kujua mshahara lazima ujue ata ukienda bargain unajua salary scale yao ikoje.
 
Back
Top Bottom