Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,617
Reaction score
10,524
Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania?

asanteni sana.
 
Jina la kemikali linapataje kishwahele chake ndugu, probably hutalipata kamwe kwa sbb halipo, nenda kwnye maduka ya kemikali za madawa ya binadamu probably utapata au online kupitia alibaba or so, unataka ya kufanyia nini? What percentage of purity? End user product? Au unataka BBE tu? Ya my 50cents
 
una maanisha benzini mafuta ya kusafishia mitambo,vifaa na kutumika kwenye ndege au
 
Samahani, Jina ulilo andika lina maana/kemikali tofauti tofauti; labda ufafanue ni ya kazi gani
Mfano; Unaulizia Benzoin ile inayopatikana kwenye benzaldehyde inayotengenezea additives za chakula
au Unaongelea ile dawa ya Vipele inaitwa Benzyl Benzoate (BBE) au ni ya kazi gani?
 
Jina la kemikali linapataje kishwahele chake ndugu, probably hutalipata kamwe kwa sbb halipo, nenda kwnye maduka ya kemikali za madawa ya binadamu probably utapata au online kupitia alibaba or so, unataka ya kufanyia nini? What percentage of purity? End user product? Au unataka BBE tu? Ya my 50cents
Nilichomaanisha sio kemikali.
Benzoin ninayomaanisha katika muktadha huu ni mafusho jamii ya ubani. Ndo naulizia jina la kiswahili maana wauzaji wengi wanashindwa kunielewa nikiwaulizia kwa jila la hilo la kingereza
 
Back
Top Bottom