Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Dah umemtisha dogo....mwambie aanzie ushauri nasaha..tusije tukamkosa..Wote wawili mtakuwa na gonorrhea. UTI haina dalili hizi. Msichana wako atakuwa hajui sababu dalili kwa wanawake ni tofauti na si Kali Kama kwa wanaume.
soma link Gonorrhea - PubMed Health
Cha muhimu nendeni wote hospitali. Tumia kinga wakati wote, na muulize mko wangapi. Pima na ukimwi kabisa. Ukitoka negative shukuru mungu. AIDS is very real!
umri miaka 22
maumivu yapo takriban wiki mbili
maumivu yanakua kwa muda kuna siku naamka nipo saf kabisa,ila toka juz hali imezid kua mbaya.
dalili za kuwashwa,kukojoa damu,tone au matone ya damu hakuna,ila maumivu wakati wa kukuojoa yapo.
huwa hatutumii kinga kabisa.
girlfrnd wangu halalamiki kitu ila wakati wa kusex huwa anatoka haruf flani hivi ambayo siielewi.
acha uwoga nenda hospitali fasta halafu ukipona usirudie kufanya ngono bila kinga
Angalia usipatwe na PANGUSA ikakipangusa kichwa chote cha uume halafu ukaanza kuchezea timu pinzani
kaka nimeenda nimepewa dawa aina ya CIPROFLOXACINE ambayo ni ya U.T.I
Dogo Cipro haitokutoa majangani wewe na demu wako mana umekaa na hilo Gono kwa muda mrefu,ongezea Caps Doxycycline 100mg twice a day kwa 7 days.(Hii ni kwa wote na msiduu kwa 10 to 14 days mpk mpone kabisa)[/QUOT
mkuu nimepewa na hizo caps doxycycline,asante sana kwa ushaur
Duh we akili yako unaijua mwenyewe lol!!