Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Dah umemtisha dogo....mwambie aanzie ushauri nasaha..tusije tukamkosa..Wote wawili mtakuwa na gonorrhea. UTI haina dalili hizi. Msichana wako atakuwa hajui sababu dalili kwa wanawake ni tofauti na si Kali Kama kwa wanaume.
soma link Gonorrhea - PubMed Health
Cha muhimu nendeni wote hospitali. Tumia kinga wakati wote, na muulize mko wangapi. Pima na ukimwi kabisa. Ukitoka negative shukuru mungu. AIDS is very real!