Wakuu naomba msaada na sitorudia tena

Wakuu naomba msaada na sitorudia tena

Wote wawili mtakuwa na gonorrhea. UTI haina dalili hizi. Msichana wako atakuwa hajui sababu dalili kwa wanawake ni tofauti na si Kali Kama kwa wanaume.
soma link Gonorrhea - PubMed Health

Cha muhimu nendeni wote hospitali. Tumia kinga wakati wote, na muulize mko wangapi. Pima na ukimwi kabisa. Ukitoka negative shukuru mungu. AIDS is very real!
Dah umemtisha dogo....mwambie aanzie ushauri nasaha..tusije tukamkosa..
 
umri miaka 22
maumivu yapo takriban wiki mbili
maumivu yanakua kwa muda kuna siku naamka nipo saf kabisa,ila toka juz hali imezid kua mbaya.
dalili za kuwashwa,kukojoa damu,tone au matone ya damu hakuna,ila maumivu wakati wa kukuojoa yapo.
huwa hatutumii kinga kabisa.
girlfrnd wangu halalamiki kitu ila wakati wa kusex huwa anatoka haruf flani hivi ambayo siielewi.

mkuu wahi hospital harka ugonjwa wa zinaa huo!
 
jamani nimetoka hospital na nimepewa dawa aina za CIPROFLOXACINE,asanteni kwa ushaur kama kuna cha kuongeza naomba muongeze wakuu
 
acha uwoga nenda hospitali fasta halafu ukipona usirudie kufanya ngono bila kinga

Angalia usipatwe na PANGUSA ikakipangusa kichwa chote cha uume halafu ukaanza kuchezea timu pinzani

Duh we akili yako unaijua mwenyewe lol!!
 
Dogo ingia pharmacy fasta kanunue dawa inaitwa AZUMA inauzwa around 10,000 kwa dozi hospitali za kibongo watakuzingua alafu uache zinaa dogo....na huyo demu wako mpige chini maana sio mwaminifu
 
Huo usaha unaotoka wamekumbia ni uti??? Labda hujawaambia dalili zote, au umeenda hospitali mbofu. Msichana wako kapewa dawa gani ?



kaka nimeenda nimepewa dawa aina ya CIPROFLOXACINE ambayo ni ya U.T.I
 
Ugonjwa wa zinaa huo pima na lile gonjwa kubwa lile
 
Anyway usijione wewe una tatizo kuna watu wana matatizo kuliko wewe kule temeke kuna watu wamekuwa super glue
 
Dogo Cipro haitokutoa majangani wewe na demu wako mana umekaa na hilo Gono kwa muda mrefu,ongezea Caps Doxycycline 100mg twice a day kwa 7 days.(Hii ni kwa wote na msiduu kwa 10 to 14 days mpk mpone kabisa)
 
Dogo Cipro haitokutoa majangani wewe na demu wako mana umekaa na hilo Gono kwa muda mrefu,ongezea Caps Doxycycline 100mg twice a day kwa 7 days.(Hii ni kwa wote na msiduu kwa 10 to 14 days mpk mpone kabisa)[/QUOT

mkuu nimepewa na hizo caps doxycycline,asante sana kwa ushaur
 
nashkur kwa ushauri wenu wakuu,mungu anasaidia naendelea na tiba.
 
Pole sana mdogo wangu kuwa makini gono hilo mtafute mwenzako naye mpeleke hosptali.
 
mwambie muende hospitalini,maana ukiogopa kumwambia ukaenda mwenyw,af ukarudia sex nae utapata tena ilo tatizo,nenda nae mkatibiwe pia muwe mna tumia kinga maana hapo lazma mmoja kamuambukiza mwenzie,na mnaonekana hamna muda mrefu,so kueni waaminifu na kutumia kinga
 
Back
Top Bottom