Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Nitapoaje kwa mfano[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akina cuzoo wako wapi tuchangamshe genge la Abbasfarudume hadi aombe pooo[emoji23] [emoji23]
Watu wako busy kishenzi sijui nani kawateka bhana
 
Nitapoaje kwa mfano[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akina cuzoo wako wapi tuchangamshe genge la Abbasfarudume hadi aombe pooo[emoji23] [emoji23]
Hivyo hivyo ndio napataka hapo mkuu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji377] [emoji377]
 
Hivyo hivyo ndio napataka hapo mkuu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji377] [emoji377]
Mkuu ukijichanganya humu vizuri unapata marafiki wengi sana hata kama wapo nyuma ya keyboard.

Mimi hadi sasa najuana na baadhi live nje ya JF ambayo nimeanza kujuana nao humu.
 
Aisee.
Hata dada yangu tangu nimuone asubuhi sasa hivi nimeingia bado simuoni.
Wanapambana na hali zao hao
Na wewe Mwifwa: na Sakayo: Neema ya bwana iwashukie kwa comments zenu nzuri wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…