Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Una miaka 2 hapa JF halafu unasema kuna ubaguzi? Usipokuwa mchangamfu na mwepesi kuzoeana na watu kwenye comment lazima udhanie hivyo.Kwel mkuu umenena humu jf ubaguzi mtupu hata mm nimeona bas tena kutoa nyuzi
Siondoki tena mkuu moyo wangu umetulia Jf mkuu.Aii wewee! Timekuzowea,usiondoke pliz nita comment kila andiko lako hata kama sikuelewa ni tasema hivi "uko sahihi mkuu".
HahahaaaaaNafikiri sasa Abbasfarudume utaahirisha kutoka humu maana huu uzi umepata comments za kutosha
Asavali dah[emoji3][emoji23]Siondoki tena mkuu moyo wangu umetulia Jf mkuu.
Unatakiwa uwe na moyo wa chuma kama mimi nilivyojilipua mkuu komaaKwel mkuu umenena humu jf ubaguzi mtupu hata mm nimeona bas tena kutoa nyuzi
CHADEMA kwanza utumbo mwingine baadaye!Humu ukitaka. Positive (biased)Comments. Msifie mbowe. Lisu Nassari. Lema. Na sasa Nape. Na Askofu Niwemugizi. Na negative. Msifie JPM. Makonda. Pengo nk. Hata wasipowaelewa kuna hoja wameshaziweka kichwani. Leo Mbunge hana Kazi humu. Ukitoa hoja. Utaskia Sio Kazi yake. Wakati. Anapoomba Kura ndo hoja hizo tunazowabania. So Heri upate moja usimamie ukweli mana one has always to look at a Half Fully Cup and not Half empty Cup if at all he or she wants to get somewhere.
Hmm! Mambo ya kupelekana garage, siyawezi mkuu tushakuwa watu wazima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa uchochezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
KabisaKwa kweli inahitaji umakini.
J5 imeendaje lakini!
Wewe shida yako kitu gani, Ubarikiwe kwa Comments mkuuToka mwez may bado unaaga halafu huondoki tuù?!
Ukikumwagikia mwilini nasikia Unawasha kichiziLabda nyegere[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe shida yako kitu gani, Ubarikiwe kwa Comments mkuu
Wafugaji wa nyuki ndio wanajibu sahihi[emoji2]Ukikumwagikia mwilini nasikia Unawasha kichizi
Nilienda kwa babu akanishauri nitoe post kama hii, akaniambia nitapata comments na like nyingi mkuu, mbarikiwe sana.Uwe unatoa post kama hizi si unaona ulivyofanikiwa.
Daah kweli watu tunatofautiana, yani unalilia watu wa like uziwako!!Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Mimi kawaida tu japo niko busy kiasi.Kabisa
Jumatano ni poa, uchovu tuu jamani.... Vipi wewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Wanaufanyia nini, wafugaji nyuki mkojo wa ngedere mkuu???Wafugaji wa nyuki ndio wanajibu sahihi[emoji2]
Au wanachanganya na asali.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Wanaufanyia nini, wafugaji nyuki mkojo wa ngedere mkuu???