Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Pole mkuu ila najua watu wanaopenda hizo mambo sio ma great thinkers

Huwezi kuwa great thinker alafu upende ma likes. We andika thread yako ya maana wataolike poa watakaochangia sawa tu atakae kaa kimya sawa ujumbe utakuwa umemfikia.

Usipende ma likes asee. Hayo waachie watoto wa sec school hata haziongezi kitu kwa pochi yako
 
Kwel mkuu umenena humu jf ubaguzi mtupu hata mm nimeona bas tena kutoa nyuzi
Una miaka 2 hapa JF halafu unasema kuna ubaguzi? Usipokuwa mchangamfu na mwepesi kuzoeana na watu kwenye comment lazima udhanie hivyo.

JF ni nzuri sana aisee.

Hapo tatizo sio wengine mnaowalalamikia, tatizo ni ninyi mnaolalamika.
 
Humu ukitaka. Positive (biased)Comments. Msifie mbowe. Lisu Nassari. Lema. Na sasa Nape. Na Askofu Niwemugizi. Na negative. Msifie JPM. Makonda. Pengo nk. Hata wasipowaelewa kuna hoja wameshaziweka kichwani. Leo Mbunge hana Kazi humu. Ukitoa hoja. Utaskia Sio Kazi yake. Wakati. Anapoomba Kura ndo hoja hizo tunazowabania. So Heri upate moja usimamie ukweli mana one has always to look at a Half Fully Cup and not Half empty Cup if at all he or she wants to get somewhere.
CHADEMA kwanza utumbo mwingine baadaye!
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Daah kweli watu tunatofautiana, yani unalilia watu wa like uziwako!!

Hamia Facebook utamaliza ukata wa comments na like.
 
Back
Top Bottom