Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

We jamaa bana.. Nakuvutia picha upoje ujue. Ebu tuma hata picha yako itakuongezea likes na comments
 
Jf, ukitaka upate comments na like leta nyuzi hizi.

Kukashifu dini za watu.

Kuleta uzi wa ki greater thinker (kuelimisha jamii)

Uzi wa kuleta habari ya jambo kubwa lilitokea nchini.

Lakini uzi usio na mashiko sio rahisi kupata comments nyingi hata huu uzi wako ni wakijinga lakini imebidi tu tu comment kukueleza yanayoweza kuwa mapungufu yako.

Binasfi wakati naaza kuingia humu nilikuwa na post uzi ilimladi uzi tu lakini baada ya kuwa greater thinker sasa sianzishi uzi hovyo hovyo tu. Ninapokuwa nahitaji kupata maarifa furani huwa na search nyuzi zilizomo humu.

Jf napachukulia kama sehemu ya kupata habari ya kinachoendelea duniani na pia elimu, na nikitoa uzi wa taarifa frani silengi kupata like na comments.
 
Ausifi=hausifi
Aufai=haufai
Auna=hauna
 
Kwani LIKES zinasaidia nini

Wanaoaotafuta malike ni watoto wa O level
 
Kweli jomba kuna ubaguzi wa kutosha tunakaa kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…