miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Me mkuu nanyota mbona labda nikusindikizeNjoo tukomae na uzi wetu tusiokuwa na nyota mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mkuu nanyota mbona labda nikusindikizeNjoo tukomae na uzi wetu tusiokuwa na nyota mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisindikize mkuu, mie tatizo nyota [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]Me mkuu nanyota mbona labda nikusindikize
Nipo nyuma yakoNisindikize mkuu, mie tatizo nyota [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Ukuje ukuje mkuu.Nipo nyuma yako
Na wewe ubarikiwe sana kwa comments mkuuMbona leo wame comment sana?! Labda nyuzi za kwanza zilikuwa mbovu [emoji23] [emoji12]
Hahahaaaa!!... Mm sipendi commentsWeee acha zako bhana humu kila mtu anapenda comments mkuu
Ausifi=hausifiKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
😀 😀 😀 😀 😀 😀Ngoja na Mimi nianzishe Uzi wa kuaga nipate like na comment kibaooo
Ubarikiwe kwa comments mkuuAusifi=hausifi
Aufai=haufai
Auna=hauna
Na wewe nae Ubarikiwe kwa Comments mkuuKwani LIKES zinasaidia nini
Wanaoaotafuta malike ni watoto wa O level
We mwenyewe hulike comments zetu afu unamaind watu wasipolike😀 😀 😀 😀 😀 😀
Kweli jomba kuna ubaguzi wa kutosha tunakaa kigumuKuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Ohooo mkuu huo uchochezi sasa kama ku like na ku comments humu uliza utaambiwa mkuu na comments na ku like sana tu mkuu.We mwenyewe hulike comments zetu afu unamaind watu wasipolike
Comments zako