Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Hahaha hivi kumbe kuna watu wanakuja jf kuuza sura?
 
ukichomoa sisi tuna weka mzee, weka vitu vya kueleweka watu watiririke
 
SIKUSHAURI kabisa uende huko kwingine.... SIKUSHAURI utoke JF, kuna maarifa mengi sana hapa.. Wala usikatishwe tamaa na kukosa pongezi... Komaa andika kila utakachoona kina tija kwenye jamii kuondoka JF ni sawa na kujikataa SIKUSHAURI tafadhali baki
Nimependa ushauri huu[emoji106] [emoji106]
 
Jamiiforums ni kituo cha elimu, habari, burudani na michezo
Kufikiria kijitoa hapa ni kudhulumu nafsi yako. Pambana na hali yako mpaka kieleweke
 
Mkuu Abbasifarudume uzi wako umepokelewa vema sasa kiroho safi kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna faida yoyote ya kua maarufu sijui kujulikana Jamii forum, lol
siku umeamka wallet imenywea hao wafuasi wako wataitunisha kweli??

Aiseee umaarufu usio wa mafanikio kwangu NOOOOO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…