Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
- Thread starter
- #401
Napambana na hali yangu mkuu.Pole sana mkuu,endelea kuvumilia mwanzo mgumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napambana na hali yangu mkuu.Pole sana mkuu,endelea kuvumilia mwanzo mgumu
Mkuu bado una nafas,usikate tamaaNapambana na hali yangu mkuu.
Baada ya kuweka mkwara, ndio nimepata like za kutosha mkuu.Mbona hii thread imepata comments za kutosha mkuu
Nimependa ushauri huu[emoji106] [emoji106]SIKUSHAURI kabisa uende huko kwingine.... SIKUSHAURI utoke JF, kuna maarifa mengi sana hapa.. Wala usikatishwe tamaa na kukosa pongezi... Komaa andika kila utakachoona kina tija kwenye jamii kuondoka JF ni sawa na kujikataa SIKUSHAURI tafadhali baki
Ahsante kwa comments mkuu barikiwa mno.Hahaha hivi kumbe kuna watu wanakuja jf kuuza sura?
Pamoja sana mkuu barikiwa sana.ukichomoa sisi tuna weka mzee, weka vitu vya kueleweka watu watiririke
Yeah safi sana!Nimependa ushauri huu[emoji106] [emoji106]
Ahsante kwa comments mkuu ubarikiwe sana.Unalejea kwenu fb?
Hapo umenena mkuu ubarikiwe sana.Jamiiforums ni kituo cha elimu, habari, burudani na michezo
Kufikiria kijitoa hapa ni kudhulumu nafsi yako. Pambana na hali yako mpaka kieleweke
Barikiwa sana mkuu, pia ahsante kwa commentsKafie mbar uko!