Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Nikutie moyo, ikiwa bado hujaondoka.

Kama sababu ya kukufanya uondoke humu ni watu kuto like na ku-comment kwenhe nyuzi zako ambazo una uhakika kabisa kuwa ni zenye mashiko na mvuto.

Usijali kanisa ikiwa hawa comment ama ku like!

Wanadamu wengi wanapenda vitu ambavyo havina maana, na wachache wanapenda vyenye maana.

Unachokiandika kama kima mashiko na mvuto, usiache kukiandika kwa sababu kumbuka kwamba, kuna kundi la watu wachache wanaopenda vyenye maana zinawafaidisha na kuwaongezea maana maishani mwao.

Usiache kupost, kwa sababu ya wingi wa audience unayoipata. Wewe post bila kukoma.
 
Ahsante kwa maoni na ushauri mkuu, ubarikiwe sana, na mimi bado nipo, sana mkuu wangu.
 
Ww huna jipya zaidi ya kutaka Comments na Malikes Anywayz chukua hii FWALA ww
 
Mh! Ni kama vile kuna kitu unakihisi humu ila huwezi kufunguka! Ok, tell us something, unadhani wanaokuhujumu au kutokutendea haki ni MODS au MEMBERS wenzio?

Kama unadhani ni MODS it's fine ila kama unadhani ni MEMBERS wenzio, basi wewe ndio utakuwa kwenye wrong way! Maana members wa humu ni RANDOMIZED! Ndio maana waweza kuta unabishana/kutofautiana hata na Wakwe zako!
 
Na wewe nae ubarikiwe na baba muumba, kwa ku comments.
 
Ww huna jipya zaidi ya kutaka Comments na Malikes Anywayz chukua hii FWALA ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hila Nkwakidudu: FWALA menyewe bhana.
 
Tunawaletea magazeti ya leo kwa hisani ya abbasfarudume.
 
Wacha nikomenti kumuaminisha mleta thread kuwa tupo pamoja kiroho
 
Mmmh kumbe MTU ukishusha Uzi huwa una matumaini makubwa ya kupewa likes na comments?????? Mimi sijawahi kutupia Uzi wowote humu huwa nalike na kukoment kwenye nyuzi za wengine tu na najisikia poa.
 
Hizi Kiki nyingine balaa jamaa amekuja analialia oooh naondoka Sasa hivi kila comment anachekelea tu.
 
Mmmh kumbe MTU ukishusha Uzi huwa una matumaini makubwa ya kupewa likes na comments?????? Mimi sijawahi kutupia Uzi wowote humu huwa nalike na kukoment kwenye nyuzi za wengine tu na najisikia poa.
Kiroho safi mkuu, mungu akubariki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…