Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Ohoooo [emoji23] [emoji23]
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread...
Mkuu, huo ni wasi wasi wako. Ukichukua idadi ya likes ulizopata ukagawanya kwa michango yako unapata 0.748, which is greater than 0.5. Hii inaonesha kuwa michango yako ni bora na ina impact kwa jamii. Kadri unavyoendelea kuchangia mada na kutoa mada, idadi ya likes itaongezeka tu. Angalizo JF sio kama fb ambapo ukirushia picha unapata ma likes ya kumwaga...
Nakushauri uendelee kuwepo jukwaaani kwa kuwa idadi ya likes ukigawanya idadi ya michango yako inaonesha kuwa una michango yenye msaada kwa jamii...
 
Usijali mkuu, hapa jf ni kama bakheressa Kama usimpokunywa bidhaa zake utakula bidhaa zake. Najua utakuwa unarudi id mpya, maana jf ni kama kilevi vile!
 
Usijali mkuu, hapa jf ni kama bakheressa Kama usimpokunywa bidhaa zake utakula bidhaa zake. Najua utakuwa unarudi id mpya, maana jf ni kama kilevi vile!
Kasema ameahirisha mpango wa kutoka atabakia tu, hahahahahah
 
Huwaga nacomment ninachoona kinafaa, napost nikijiskia walike, wasilike, wacomment wasicoment huwaga siwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…