[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] Hila NAHUJA: wee kiboko mpaka comments unahesabu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hadi sasa una comments 157
Hebu weka uzi mmoja wa ngono au kuhusu maisha yalivyo matamu kipindi hiki cha magufuli utawaoona watakavyokuja spidiShida yangu Nipate comments yako nashukuru nimeipata Ubarikiwe mno mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna Uzi humu wa kutupia picha za mademu wakali naona kule patakufaa mkuuHebu weka uzi mmoja wa ngono au kuhusu maisha yalivyo matamu kipindi hiki cha magufuli utawaoona watakavyokuja spidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siondoki tena mkuu wangu nimehairisha si kwa mahaba hayaHaya uzi wa leo umepata comment usiondoke
Uzi huu vp umepata comments zakutosha au bado watu tueendelee kukuoment...Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Mie nawashauri wale wasiopata like na comments wasiogope kujitoa muhanga humu Jf kama nilivyofanya mimi hapa kwa huu uzi hii leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Mie nawashauri wale wasiopata like na comments wasiogope kujioa muhanga humu Jf kama nilivyofanyq mimi
Mungu akubariki sana mkuu kwa kujaliKomenti nyingine hii hapa na like chukua kabisa mkuu
Wewe unatoa uzi iliupewelike halafu ukishapata hiyo like iweje?Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Kilio chako ni Like, basi kula hiyo mwanangu!Tatizo wengi wanaaga lakini hawaondoki
Ubarikiwe sana kwa comments yako mkuuUnapokosea nipale unapo toa post ukitegemea watu walike sana au wakoment sana .
Embu kua Mimi ,,, Mimi huwa naandika sio nipate like au koment ,, huwa naandika sababu akishasoma hata km hatolike au kutoa koment yatakua yamekaaa kichwani.
So take it easy ,,andika usiumie wala usichoke,,NAMYU ANAPOKUTOLEA POVU LAKIJINGA KUJIFANYA MJUAJI SIJUI YEYE NI VERIFIED USER SIJUI ANAJUA JF TOKA MIAKA IYO ,,, NAWW MTOLEE POVU BILA KUJALI NINANI ,, AKITUKANA ,TUKANA MARA MBILI YAKE !!!
ujinga kwangu nishakataa, ndo maana siwigi namawazo yakijinga.
Pouwa pouwa kamanda wangu Ubarikiwe kwa like na comments zako mkuuKilio chako ni Like, basi kula hiyo mwanangu!