Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Mie nawashauri wale wasiopata like na comments wasiogope kujioa muhanga humu Jf kama nilivyofanyq mimi
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Uzi huu vp umepata comments zakutosha au bado watu tueendelee kukuoment...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mie nawashauri wale wasiopata like na comments wasiogope kujioa muhanga humu Jf kama nilivyofanyq mimi
Mie nawashauri wale wasiopata like na comments wasiogope kujitoa muhanga humu Jf kama nilivyofanya mimi hapa kwa huu uzi hii leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
 
Unapokosea nipale unapo toa post ukitegemea watu walike sana au wakoment sana .

Embu kua Mimi ,,, Mimi huwa naandika sio nipate like au koment ,, huwa naandika sababu akishasoma hata km hatolike au kutoa koment yatakua yamekaaa kichwani.

So take it easy ,,andika usiumie wala usichoke,,NAMYU ANAPOKUTOLEA POVU LAKIJINGA KUJIFANYA MJUAJI SIJUI YEYE NI VERIFIED USER SIJUI ANAJUA JF TOKA MIAKA IYO ,,, NAWW MTOLEE POVU BILA KUJALI NINANI ,, AKITUKANA ,TUKANA MARA MBILI YAKE !!!

ujinga kwangu nishakataa, ndo maana siwigi namawazo yakijinga.
 
Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Wewe unatoa uzi iliupewelike halafu ukishapata hiyo like iweje?

Unaweza ipeleka benki hizo like ukasema hizi like ni laki?
 
Unapokosea nipale unapo toa post ukitegemea watu walike sana au wakoment sana .

Embu kua Mimi ,,, Mimi huwa naandika sio nipate like au koment ,, huwa naandika sababu akishasoma hata km hatolike au kutoa koment yatakua yamekaaa kichwani.

So take it easy ,,andika usiumie wala usichoke,,NAMYU ANAPOKUTOLEA POVU LAKIJINGA KUJIFANYA MJUAJI SIJUI YEYE NI VERIFIED USER SIJUI ANAJUA JF TOKA MIAKA IYO ,,, NAWW MTOLEE POVU BILA KUJALI NINANI ,, AKITUKANA ,TUKANA MARA MBILI YAKE !!!

ujinga kwangu nishakataa, ndo maana siwigi namawazo yakijinga.
Ubarikiwe sana kwa comments yako mkuu
 
1b98fb96874eb25bf853c374dd2a2980.jpg
 
Back
Top Bottom