Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila la kheri niende wapi?Tatizo nyota mkuu! kila la kheri uendako
c umeaga au umeghairi ?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kila la kheri niende wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo wengi wanaaga lakini hawaondoki
Ahsanteee mkuu wangu kwa mawazo, na ushauri wako nzuri, na pia ahsante sana kwa Comments Ubarikiwe sana.Du ndg yangu Abbasfarudume , imenibidi nicheke na kumkumbuka yule mwanamziki Husen Machozi aliyeimba nitoke vipi... Zilipendwa sasa. Lakini nadhani utakuwa umeghairi kuaga kwa leo na hutokaa ufanye hivyo. JF ni sehemu ambayo huwezi kuwa bored hata kidogo, always kuna vitu vipya na kuna almost kila kitu. Unaweza kumpuzika tu kama uko busy lakini ukipata nafasi unarudi tena na tena.
Mwisho kabisa ushauri katika uandishi wako mkuu, jitahidi kuandika vizuri, weka nukta/kituo pale ambapo inatakiwa kiwekwe, weka koma pale ambapo inatakiwa iwekwe, anza paragraph mpya nk. Ukiandika habari ndefu haina hivyo vitu na pia ina makosa ya kiuandishi ni rahisi sana watu kuipotezea na mwisho wa siku utaishia kuona kama jamii hii haikupendi ama ina ubaguzi. Hapa JF tulio wengi hatufahamiani kwa sura wala majina halisi, hivyo siyo rahisi sana kuwa na hizo element za ubaguzi nk.
Ahsante wana Jf nadhani mmemuonesha upendo wa hali ya juu sana ndugu yetu Abbasfarudume na nina imani ameghairi kusudio lake la kuondoka.
[emoji23] [emoji23] Kila la kheri kitu gani mkuuKila la kheri mkuu..
Ila usibadili Id tuu [emoji3]
Siondoki kwenda kokote mkuu, napambana na hali yanguc umeaga au umeghairi ?
Kwaheri mkuu ila naona hata kule huonekani au nako uliaga?Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Huko akunifai mkuu kwa watoto wa shule kule, mie babu mkuuRudi facebook ndiko panapokufaa
Poa mkuu,tusamehane .kumbe tupo mlengo mmoja....[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Usinibadili dini mkuu tafadhali nitake radhi
ha ha ha ha ha! nilitaka kushangaa mkuu yaan uache mautamu yote ya jf kisa like na commentsSiondoki kwenda kokote mkuu, napambana na hali yangu
Ahsante kwa comments nilikuwa nahitaji comments yako tu mkuu hakuna kingine.nenda tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15] Wapi mkuu?Kwaheri mkuu ila naona hata kule huonekani au nako uliaga?
Mungu akubariki kwa ku Comments mkuu.Kwani we humu umekuja kujifunza au kutafuta likes