Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Kuna kama ka Upendeleo cha ku comments na kutoa like kwenye nyuzi au thread kuna members wanatoa uzi wakati mwingine auna hata mvuto au mashiko lkn wanapeana like na comments za kutosha na za kumwaga, lkn wenzangu na sisi hata tutoe uzi wenye nzuri na wenye mashiko wanapita wanajifanya kama awauoni au mtu aki comments ausifii anatoka nje ya hoja na kukandia Uzi wako wakati mwingine na kashfa juu sasa Ubaguzi kama huu aufai kabisa sisi wote humu ni members mimi mbona huwa sichagui wala kuangalia nani alietoa Uzi nikiona yoyote humu kama katoa uzi nzuri na comments, sasa mkiniona kimya msishangae wakuu nitakuwa nimeondoka humu Jf muda wowote ule Nawasilsha: Angalizo sitaki povu...
Mh! Kwa mjina huo sahau 100 replies
 
Serikali ya kiki na raia wa kiki, Hii sababj ya kuaga inachekesha kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani ulivyokuja ulikaribishwa? Sepa kimya kimya mkuu. Ukitaka misifa humu watu hawana habari
 
Sasa mbona hii wamekomene na like tumekupa?
Ukipata likes nyingi unapata pesa?au zinakufanyia nini hehee
Napata raha ndani ya roho mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karibu mkuu barikiwa sana!
 
91f081d5397f5bc2b7aabe221aab7f3d.jpg
Ngoja ni relax na mpenzi wangu kama like na comments nimeshazipata tena za kumwaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Umekuwa star tayari nimepita sehemu fulani nikasikia wanakusema eti umemzidi hamo rapa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wewe sepa tu huna haja ya kuaga maana ulipotaka kujiunga ukutushirikisha maana ndo kwanza Nakuona leo. Jf still viva forever
 
Serikali ya kiki na raia wa kiki, Hii sababj ya kuaga inachekesha kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani ulivyokuja ulikaribishwa? Sepa kimya kimya mkuu. Ukitaka misifa humu watu hawana habari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tangu niingie humu, nilikuwa sijapata like wala comments zako leo nimepata, mungu mkubwa aiseee, barikiwa sana mkuu.
 
Serikali ya kiki na raia wa kiki, Hii sababj ya kuaga inachekesha kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani ulivyokuja ulikaribishwa? Sepa kimya kimya mkuu. Ukitaka misifa humu watu hawana habari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tangu niingie humu, nilikuwa sijapata like wala comments zako leo nimepata, mungu mkubwa aiseee, barikiwa sana mkuu.
 
Umekuwa star tayari nimepita sehemu fulani nikasikia wanakusema eti umemzidi hamo rapa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pilipili ya mupesa Bamutu bakelepota penyewe punyafu timu puturu inafanya kazi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na wewe nae ushakuwa mkongo, mngoni wa songea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu akubariki mno
 
Back
Top Bottom