ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kachukue TVS Apache RTR160 HyperEdge mpya kabisa showroom ya TVS kwa 4.8M
Hiyi ndiyo pikipiki ninayoitumia. Nimeshapiga nayo ruti nyingi sana za mkoani, kubwa kabisa ikiwa Dar to Dodoma & return immediatelykama Shabiby. 900+km nimetoka saa 12 saa 6½ niko Dom nikafanya yangu nikapata lunch then saa 7 ushee nikageuka, saa 2 usiku nimeingia home DSM before dinner.
Forget 90kmph. Hii iko stable mpaka 120kmph, roho yako tu.
Ndani ya miaka 2½ niliyoimiliki nimeongeza 35,000km kwenye odometer, most of the along Dar - Mbeya road na Dar - Dom road.
Uliza chochote kuhusu hii bike ujibiwe.