Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya mwanangu, ulinunua haojue gani?Dah aisee safi sana kitusanua, maana nusura nitumege ninunue kumbe hela inheendaga bure, alaf bela yenyewe ya mkopo....manina zake......kwa stair hii ntumie pikipiki za mchina tu
Nikiona bike yenye shock up mbili nyuma naona haiko ki sport. Tafuta Yamaha mkuu ila kama ni mtu wa league ndefu, ongeza pesa tafuta Honda itakufaa sana.Hiki chuma nakipataje
Honda cb 125fView attachment 1460526
Hebu niwekee jina analotumia instaDah, yani bado kidogo anilize, nlitakaga kununua kwake nkagaili, nkanunua haojue.... Shenz zake ndo mana namba yake ya simu akitafutwa hapokeagi...pumbavu mshenz yule...milion zangu zilinusurika
Namba hiyo, jina hiloHebu niwekee jina analotumia insta
Aaaaah mamaeeeee kumbe hyu jamaa sio, ndo maana nilikuwa nashangaa sana bei zake aiseee
Ybr ni nzuri sana ila hizo safari naona kama ndefu sana , kwanini hiyo pesa usinunue honda shadow usedWakuu poleni na majukumu ya utafutaji lakini pia nawatakia sikukuu njema na Familia zenu.
Wakuu Nina budget ya 4M hadi 5M nataka bike imara yenye uwezo wa kutembea long distance hadi 150 km with speed of 70kmph to 90kmph non stop.
Nimeangalia mtandaoni baadhi ya bike kama honda, Yamaha, haojue na suzuki karibu zote ni model za India na mm nataka ya Japan, naomba kuuliza honda, suzuki au yamaha from india ina ubora Sawa na ya Japan na pia utajuaje kama bike ni ya Japan?
Baadhi ya bike zimenivutia ni
Honda cb 125f
Suzuki gs 150r
Yamaha ybr 125
Hizi bike ni model za India na sijui kama ubora wake ni Sawa na zile made in Japan japo ni company moja.
Kwa budget yangu ya 4M hadi 5M naweza Pata bike nzuri kutoka Japan?
Nimewahi kuwa na tvs and boxer sikulizika na performance yake kwa mwendo wa muda mrefu na speed kubwa japo nazo ni bike nzuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1614820my fav bike off all the time
Yamaha fz09 / mt09
847cc triple cylinder 114hp
Kwa makadirio mpya ina range kati ya 19milion to 20sth
Ulinunua mzee?Wanayo hadi 200 Sema zenye muonekano mzuri ni 160 na 180 hizi zinafanana Sana.