Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Both.Mkuu hii machine ina kick au electric starter only.
180 wanayo? Wanauzaje?Mkuu ahsante Sana Nami nilihisi kama mtu anapigwa hapa.
Taenda showroom ya tvs tu wana appache rtr 180 BS6 naona ni machine nzuri tu itanifaa na ni mpya kabisa.
That's very nice. Na 160 wanauzaje this time?5M wameniambia.
Back then wakati nanunua walikuwa na 160 tu.Wanayo hadi 200 Sema zenye muonekano mzuri ni 160 na 180 hizi zinafanana Sana.
Ok! Ila hii 180 ni kama haina kick mana nimeangalia specs Zake naona starter electric.Back then wakati nanunua walikuwa na 160 tu.
Kweli ni jambo la kuwa nalo makini. Battery ikiwa depleted au kukiwa na tatizo la umeme (pikipiki yangu ina ishu ya umeme sasahivi btw so it happens) itabidi utoe battery ukaicharge, au u jump start battery, au uiwashe kwa kushtua.Ok! Ila hii 180 ni kama haina kick mana nimeangalia specs Zake naona starter electric.
Hivi kama itakuwa haina kick si hatari zaidi battery ikianza kuzingua au terminal Zake kupata hitilafu.
Mkuu hii kwako unaionaje?
Ok! Nimecheki video moja utube wameionesha vizuri na nimeiona kick starter.Kweli ni jambo la kuwa nalo makini. Battery ikiwa depleted au kukiwa na tatizo la umeme (pikipiki yangu ina ishu ya umeme sasahivi btw so it happens) itabidi utoe battery ukaicharge, au u jump start battery, au uiwashe kwa kushtua.
In my experience miaka minne ya kwanza ya bike hutasikia tatizo la starter wala umeme. As long as battery ina nguvu, in my experience hata ukiiacha mwezi ukiigusa tu inawaka.
Sasahivi naona bike yangu (imezeeka lakini) ina ishu ya umeme but once traced and fixed ntaendelea kuipiga starter kama kawa.
Pamoja mkuu. Personally kuendesha gari DSM naona adhabu tu. Labda usiku.Ok! Mkuu Safi Sana kunipa experience yako.
Afu me namtazamo tofauti na wengine me napenda sana bike kuliko hata gari.