ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Anamaanisha kuwa ukiendesha pikipiki,mwili wako unakuwa ndo bodi
Mkuu ahsante kwa kunipa experience yako. Watu walinishauri kuwa pikipiki za India nyingi hazina nguvu ya kutosha na ni rahisi ku mess up.Kachukue TVS Apache RTR160 HyperEdge mpya kabisa showroom ya TVS kwa 4.8M
Hiyi ndiyo pikipiki ninayoitumia. Nimeshapiga nayo ruti nyingi sana za mkoani, kubwa kabisa ikiwa Dar to Dodoma & return immediatelykama Shabiby. 900+km nimetoka saa 12 saa 6½ niko Dom nikafanya yangu nikapata lunch then saa 7 ushee nikageuka, saa 2 usiku nimeingia home DSM before dinner.
Forget 90kmph. Hii iko stable mpaka 120kmph, roho yako tu.
Ndani ya miaka 2½ niliyoimiliki nimeongeza 35,000km kwenye odometer, most of the along Dar - Mbeya road na Dar - Dom road.
Uliza chochote kuhusu hii bike ujibiwe.
Soma post. Nina miaka 2½ nayo. Niliinunua mkononi mwa mtu aliyeimiliki kwa miaka 2 pia.Mkuu ahsante kwa kunipa experience yako. Watu walinishauri kuwa pikipiki za India nyingi hazina nguvu ya kutosha na ni rahisi ku mess up.
Japo Nina tvs ndogo 150x haina shida Ila naona kama haina energy ya kutosha.
Vipi hiyo machine yako RTR 160 hujawahi kupata mess up yoyote njiani na una muda gani tangu kuinunua?
Mkuu nakushukuru sana kunipa evidence yako na nimetoka kuiona utube aisee ni machine Imetulia.Soma post. Nina miaka 2½ nayo. Niliinunua mkononi mwa mtu aliyeimiliki kwa miaka 2 pia.
Hao waliokushauri wamezimiliki au wameishia kuendesha Boxer na TVS HLX za kawaida?
Niliwahi kupata mess up mbili both related tu carburetor kuingia maji au uchafu. Ya kwanza sikung'amua tatizo in time kwahiyo nikaenda nayo kwa low speed
Second time niligundua nikapeleka kwa fundi nilikuwa mitaa ya Ruaha Mbuyuni pale, akaifungua na kusafisha carburetor then nikapuliza nayo non stop mpaka Dar.
Here she is, Iyovi on the way to MafingaMkuu nakushukuru sana kunipa evidence yako na nimetoka kuiona utube aisee ni machine Imetulia.
Kama kwako ina 4.5 yrs na haina shida basi wapo vizuri Sana.
Acha nikauze Haka tvs hlx 150x then niongeze cash yangu nikavute hiyo machine.
Kwanza imenivutia Sana hata mwonekano wake uko kinyama zaidi
Ubarikiwe Sana mkuu
Vita overheat mapema sana mkuu...Chombo imetulia na inaonekana kwenye road ni balaa, vi pikipiki uchwara havikukamati aisee!
Pikipiki nyingine zitaoverheat kbla ya kuifikiaMkuu Zina overheat mapema au sijakuelewa boss?
Nenda Quality Group pale Nyerere Road.
Mkuu hizo Honda XL/XLR 250 maarufu kama Baja zilipewa jina hilo la eneo la jangwani huko Mexico ambapo mashindano yalikuwa yanafanyika.Minyama hii ni hatari kwa afya yako.....nimeamua kumpa jamaa promo....kama jnanunua nenda mwenyewe arusha ukachague na kujaribu mwenyewe
View attachment 1461398View attachment 1461400View attachment 1461401View attachment 1461402View attachment 1461404View attachment 1461405View attachment 1461406
Nimeangalia kawasaki na yamaha ulizo weka duh!Tafuta bike hizi
Honda Crf 125/150/250
Honda CBR
Kawasaki Kx 250/450
Yamaha Yz250
Hawana pia.wana boxer za cc150 tena hizi za sasa sio zile toleo la mwanzoSina experience na boxer Ila kwenye showroom Yao huwezi Kosa au kkoo