Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

Dah aisee safi sana kitusanua, maana nusura nitumege ninunue kumbe hela inheendaga bure, alaf bela yenyewe ya mkopo....manina zake......kwa stair hii ntumie pikipiki za mchina tu
Oya mwanangu, ulinunua haojue gani?
 
Dah, yani bado kidogo anilize, nlitakaga kununua kwake nkagaili, nkanunua haojue.... Shenz zake ndo mana namba yake ya simu akitafutwa hapokeagi...pumbavu mshenz yule...milion zangu zilinusurika
Hebu niwekee jina analotumia insta
 
Ybr ni nzuri sana ila hizo safari naona kama ndefu sana , kwanini hiyo pesa usinunue honda shadow used
 
Tafuta Phoenix au Avon.
Swala ilikuwa zamani sasa hivi sio sana
 
my fav bike off all the time

Yamaha fz09 / mt09

847cc triple cylinder 114hp

Kwa makadirio mpya ina range kati ya 19milion to 20sth
 
Kama unataka bike nzuri za kijapani inabidi uzame Msumbiji au Uganda utapata bike nzuri kama Suzuki Gz250, Honda Cb kwa million 3. Nyingi ni air cooled utakuwa na uhakika wa safari popote.

Pia Gumtree ya South kuna bike wanazipiga minada kuanzia million 3, hizo nyingi ni Yamaha Yz 125/250 na Honda CRF 125/250.

Kama ukiwapata wazee wa bondeni wankuletea bike kali Kwa million 4 hapo utachagua iwe ya mchongo kutoka Kwa Mandela au halali iliyouzwa ila wao pia wanakusaidia kupata kazi na usajili ikija hapa Kwa Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…