Wakuu naombeni bei za viwanja na heka Morogoro

Wakuu naombeni bei za viwanja na heka Morogoro

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Wakuu kama mada inavyosema naombeni Muongozo tafadhali bei za viwanja na heka .
 
Upo sawa lakini? Umekunywa chai leo?
Nilizani umejibu swali ila bado unaakili za ujinga acha upuuzi kwenye hii mada kama hujui mahali pa kunywa haya madimba Yako kanyee huko kwenu
 
Kuna heka 5 na nusu ifakara zinahitaji mil 3.5
Ukiwa serious nichek 0684848801
 
Back
Top Bottom