Kool the gang
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 497
- 1,465
Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo nitakapokuwa natafuta kazi ni laki 1 na nusu tu(Sina pesa nyingine). Tafadhari ushauri wenu wakuu.