enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Unafahamu kusoma ramani za chuma??Steel fixer mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu kusoma ramani za chuma??Steel fixer mkuu.
Mwenyeji sina ila nitakuwa na akiba ya kama laki 1 na Elfu 40. Haitanititosha bado nikiwa natafuta kazi?Hela yako ni ndogo kama huna mwenyeji kule.
Ndio mkuu.Unafahamu kusoma ramani za chuma??
Ndoto ya Kila Mtanganyika Kwa hivi Sasa ni kuingia Zanzibar hali hii isipodhibitiwa sijui hali ya Zanzibar itakuwaje baada miaka 10Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo nitakapokuwa natafuta kazi ni laki 1 na nusu tu(Sina pesa nyingine). Tafadhari ushauri wenu wakuu.
Basi wewe siyo kibarua! Zunguka hayo maeneo 100%unapata kazi. Ukipata uzoefu coz tutakujua nitakupa madon wa chuma!Ndio mkuu.
Vunjeni muungano.Ndoto ya Kila Mtanganyika Kwa hivi Sasa ni kuingia Zanzibar hali hii isipodhibitiwa sijui hali ya Zanzibar itakuwaje baada miaka 10
Wenye dhamana waliangalie hili Kwa jicho la tatu kisiwa kinazama
Una 150, kutoka tibiorah, mpaka mzizioma ni kama 70 to 80 elfu, kutoka mzizioma to nchi ya zedibari ni 35k , una tabu bro !Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo nitakapokuwa natafuta kazi ni laki 1 na nusu tu(Sina pesa nyingine). Tafadhari ushauri wenu wakuu.
Nadhani Zanzibar Kuna kazi nyingi za ujenzi kuliko Dodoma. Tangu juzi naona Rais Mwinyi kila siku anaweka majiwe ya msingi kwa ajili ya ujenzi mpya.Zanzibar pagumu sana kutoboa.
Kwa nini usiingie hapo Dodoma au Dar tu ukapambane?
Nikisema ni ndogo nitakuwa nakufariji tu, ukweli ni kuwa ni ndogo saaaana. Si tu kwa zanzibar ila kwa mji wowote unaweza kwenda ukiwa huna mwenyeji...Mwenyeji sina ila nitakuwa na akiba ya kama laki 1 na Elfu 40. Haitanititosha bado nikiwa natafuta kazi?
Mh 😄 zanzibar kuna kazi zipi kushinda Dodoma.Nadhani Zanzibar Kuna kazi nyingi za ujenzi kuliko Dodoma. Tangu juzi naona Rais Mwinyi kila siku anaweka majiwe ya msingi kwa ajili ya ujenzi mpya.
Inabidi umtajie na maeneo mkuu aanzie wapi na aishie wapi kama walivyotoa maelezo wengine.Mh 😄 zanzibar kuna kazi zipi kushinda Dodoma.
Hakuna mkoa wenye ujenzi mwingi kushinda Dodoma kwa sasa kila sekta unayojua wewe inafanya ujenzi huko dodoma kwasababu bado majengo yaliyopo hayajakidhi mahitaji, wahamiaji ni wengi kuliko uwezo wa majengo ya mji kuwahifadhi
Kule ni kitambulisho cha Nida tuWakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo nitakapokuwa natafuta kazi ni laki 1 na nusu tu(Sina pesa nyingine). Tafadhari ushauri wenu wakuu.
Kitambulisho chochote tu, hata barua ya mtendaji inatosha ila iwe na piçha yako.Ikiwezekana mnipe na location kabisa wapi kazi za ujenzi zinapopatikana itakuwa vyema zaidi wakuu.
Nenda kwa Mfalme wa Morocco anajenga magorofa yake pale Forodhani utakutana na mfundi kutoka Morocco🇲🇦Ikiwezekana mnipe na location kabisa wapi kazi za ujenzi zinapopatikana itakuwa vyema zaidi wakuu.
Bora Mtanganyika anaenda Zanzibar na kurudi kwao tofauti na Wageni kutoka nje wao wananunua visiwa vidogo vidogo na Maeneo yenye Beach na kuzuia wenyeji wasipite, Mfalme wa Morroco na Mfalme wa Omani wanazidi kununua Majengo tu Ya mji mkongwe.Ndoto ya Kila Mtanganyika Kwa hivi Sasa ni kuingia Zanzibar hali hii isipodhibitiwa sijui hali ya Zanzibar itakuwaje baada miaka 10
Wenye dhamana waliangalie hili Kwa jicho la tatu kisiwa kinazama
bora tu Muungano uvunjike, maana Wazanzibar ni wabaguzi sana toka dahari, wanatafuta vibarua toka Tanganyika lkn hawataki wahodhi ardhi.Ndoto ya Kila Mtanganyika Kwa hivi Sasa ni kuingia Zanzibar hali hii isipodhibitiwa sijui hali ya Zanzibar itakuwaje baada miaka 10
Wenye dhamana waliangalie hili Kwa jicho la tatu kisiwa kinazama