Kool the gang
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 497
- 1,465
1)Nauli hii unayo.jinsi ya kuingia Zanzibar
Unaenda lini mkuu mana mm pia naenda huko December 31 na boti ya usiku. Andaa Nida au barua ya kutambuliwa na serikali ya mtaaWakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo nitakapokuwa natafuta kazi ni laki 1 na nusu tu(Sina pesa nyingine). Tafadhari ushauri wenu wakuu.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Kila la kheri
Kama wewe ni raia wa kigeni wa Nchi ya Tanganyika unatakiwa kufanya yafuatavyo.1 kuwa na kitambulisho Cha nida na kama hauna nenda Kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wako akuandikie barua kukutambua kuwa anakufahamu.Tofauti na hapo utafungwa nje ya Nchi iitwayo zanzibar
Nenda Ni Nauli Na Kitambulisho
Chochote Hasa NIDA, Leseni,Mpiga Kura Unakata Ticket Unazama Mji Mkongwe (Pearl Of Stone Town)
Shukrani kwa muongozo wakuu.Nida ,lesen mpiga kura au pasport
Aminia sana mkuu kwa huu muongozo 🙏🏾🙏🏾.1)Nauli hii unayo.
2)Vitambulisho kati ya hivi :
(a) Nida
(b) Mpiga kura
(c)Barua ya utambulisho kama hauna a na b
Kazi ni ngumu kupata ila shughuli za kufanya zipo na zinapatikana zaidi mashambani huko ndiko ujenzi wa mahotel hufanyika na unaendelea kufanyika!
Ukifika tembelea maeneo haya kama unatafuta vibarua na siyo kazi:
1)Nungwi
2)Paje
3)Kiwengwa
4)Mjini
5)Pemba
Malipo
a)Fundi:Tsh 30000-50000 kwa siku
b)Kibarua :Tsh 15000-20000 kwa siku
Malazi:
Chumba: Tsh 30000-100000 kwa mwezi.
Chakula:
Tsh 200- mpaka utakapo fika kikomo cha mfuko wako!
Hii ni kwa uzoefu wangu!
Niwe mkweli sina mwenyeji mkuu ila kama nilivyoandika pale juu nina laki Moja na nusu tu pengine nikikopa na M Pawa hapa nitafikisha laki Mbili. Ndiyo pesa nayoitegemea.Una mwenyeji Zanzibar? Maisha ya Zenji yapo juu kuanzia chakula hadi Malazi hivyo kama huna mwenyeji uwe na pesa ya kutosha ya kujikimu.
Ili usafiri unatakiwa kuwa na kitambulisho cha kiserikali mfano, cha Nida, Cha kura, leseni n.k. Nauli ni Tsh. 35,000/=
Una fani gani kwenye ujenzi?Ikiwezekana mnipe na location kabisa wapi kazi za ujenzi zinapopatikana itakuwa vyema zaidi wakuu.
Paje mpaka jambiani inajengwa sana kwa sasa1)Nauli hii unayo.
2)Vitambulisho kati ya hivi :
(a) Nida
(b) Mpiga kura
(c)Barua ya utambulisho kama hauna a na b
Kazi ni ngumu kupata ila shughuli za kufanya zipo na zinapatikana zaidi mashambani huko ndiko ujenzi wa mahotel hufanyika na unaendelea kufanyika!
Ukifika tembelea maeneo haya kama unatafuta vibarua na siyo kazi:
1)Nungwi
2)Paje
3)Kiwengwa
4)Mjini
5)Pemba
Malipo
a)Fundi:Tsh 30000-50000 kwa siku
b)Kibarua :Tsh 15000-20000 kwa siku
Malazi:
Chumba: Tsh 30000-100000 kwa mwezi.
Chakula:
Tsh 200- mpaka utakapo fika kikomo cha mfuko wako!
Hii ni kwa uzoefu wangu!
Steel fixer mkuu.Una fani gani kwenye ujenzi?
Shukrani mkuu ngoja nikapambane.Kazi kwako Wadau washakupa mwongozo juu hapo Kila la kheri Mkuu