Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kwako hautaki tuje ila ramani tukupe, umesema kila mtu afe na chake? Nawe kufa na plot yako.....😂😂😂Wageni wanini tena maisha haya yaani nianze kupiga hesabu za wageni tena mimi mbona siendi kulala kwao Kila mtu afe na chake
Sio kweliKwako hautaki tuje ila ramani tukupe, umesema kila mtu afe na chake? Nawe kufa na plot yako.....😂😂😂
Hizi design za choo cha master bedroom ukiwa na wife, mmoja wenu tu kiingia chooni kushusha mzigo akishatoka tu kama upo room harufu yote lazima uusikie yani.
Kwahiyo Bora kiwe public mkuuHizi design za choo cha master bedroom ukiwa na wife, mmoja wenu tu kiingia chooni kushusha mzigo akishatoka tu kama upo room harufu yote lazima uusikie yani.
Baba na mama wawekee masta la kibabe hapo, tena uweke na changing room 😀Kwahiyo Bora kiwe public mkuu
Mbona jamaa anasema Master mwenzio akiingia chooni hakulaliki humo🤣🤣🤣Baba na mama wawekee masta la kibabe hapo, tena uweke na changing room 😀
Mwongo mwongo uyoMbona jamaa anasema Master mwenzio akiingia chooni hakulaliki humo🤣🤣🤣
Kwanini mkuu maana ni kweli vyoo huwa vinatoa harufuMwongo mwongo uyo
Hata hapo utatoa kitu quality sana..Hapana mkuu nataka nitoe kitu quality Sasa hapo gharam1 zitazidi
Kuna design unaweza fanya choo na bafu vikawa chumba kimoja kisha nje ya choo na bafu kunakuwa na open space nyingine ambayo ukiamua unaweza ifanya kama sehemu ya kupigia mswaki/kunyolea au kubadilishia nguo pia yaan ikawa kama walk in closet. Hivyo kunakua na milango miwili yaani mpaka uingie chooni itakubid ufungue milango miwili, wapili ukiwa huo wa chooni na unakua usawa/mstari tofauti na mlango wa kwanza.Kwahiyo Bora kiwe public mkuu
Sawa mkuu hapo nimekusomaKuna design unaweza fanya choo na bafu vikawa chumba kimoja kisha nje ya choo na bafu kunakuwa na open space nyingine ambayo ukiamua unaweza ifanya kama sehemu ya kupigia mswaki/kunyolea au kubadilishia nguo pia yaan ikawa kama walk in closet. Hivyo kunakua na milango miwili yaani mpaka uingie chooni itakubid ufungue milango miwili, wapili ukiwa huo wa chooni na unakua usawa/mstari tofauti na mlango wa kwanza.
Au ukaamua tu chumba chako kikawa kama master ila choo inakua kwa nje pembeni ya chumba.
Hapo hata ushushe mzigo unatoa harufu kama yai viza aliyepo chumbani hawezi sikia harufu.
Kuna vipimo pia vya kuzingatia hapo.
La kibabeMbona jamaa anasema Master mwenzio akiingia chooni hakulaliki humo🤣🤣🤣
Hakuna Mzee, mlango WA choo unakua na mlango WA aluminium (hata usipokuwepo) sink liwe limesetiwa vizuri tuu ukishaflash harufu hairudi ndani, trap ya sink ukichungulia kwenye tundu pale inatakiwa uone MAJIHizi design za choo cha master bedroom ukiwa na wife, mmoja wenu tu kiingia chooni kushusha mzigo akishatoka tu kama upo room harufu yote lazima uusikie yani.
Itakua trap ya sink haijasetiwa vizuri, Mimi changu hata uweke kiti ukae Choon husikii chochote unaeza sema hakuna chooMbona jamaa anasema Master mwenzio akiingia chooni hakulaliki humo🤣🤣🤣
Kwahiyo hapo inatakiwa mtaalamu kwelikweli mkuuItakua trap ya sink haijasetiwa vizuri, Mimi changu hata uweke kiti ukae Choon husikii chochote unaeza sema hakuna choo
Mimi mwanzo kuna fundi aliniwekea lakin alikosea MAJI yalikua hayajai vizuri kwenye tundu la sink, baada ya kurekebisha freshKwahiyo hapo inatakiwa mtaalamu kwelikweli mkuu
Tatizo siyo kuweka mlango wa aluminium au wa mbao mkuu japo siku hizi designer mzuri huwezi mshauri mteja aweke mlango wa mbao chooni(kuna faida kubwa kuweka mlango wa alminium)......Tatizo ni pale mlango utakapo kuwa unafunguka, ukumbuke kuwa harufu ni hewa/upepo/gas so husambaa within seconds tu.Hakuna Mzee, mlango WA choo unakua na mlango WA aluminium (hata usipokuwepo) sink liwe limesetiwa vizuri tuu ukishaflash harufu hairudi ndani, trap ya sink ukichungulia kwenye tundu pale inatakiwa uone MAJI
Kama ushaflash mzigo umeenda harufu inarudije? Hapo trap ya sink itakua haijawekwa sawaTatizo siyo kuweka mlango wa aluminium au wa mbao mkuu japo siku hizi designer mzuri huwezi mshauri mteja aweke mlango wa mbao chooni(kuna faida kubwa kuweka mlango wa alminium)......Tatizo ni pale mlango utakapo kuwa unafunguka, ukumbuke kuwa harufu ni hewa/upepo/gas so husambaa within seconds tu.
Manipulation ya milango ina matter sana hapo na inakua nzuri zaidi chooni ukimshauri tajiri afunge extractor fan pia (ya umeme au forced air)
wekeni madirisha makubwaaaa.. shida mnaweka vichochoro vya madirisha choonTatizo siyo kuweka mlango wa aluminium au wa mbao mkuu japo siku hizi designer mzuri huwezi mshauri mteja aweke mlango wa mbao chooni(kuna faida kubwa kuweka mlango wa alminium)......Tatizo ni pale mlango utakapo kuwa unafunguka, ukumbuke kuwa harufu ni hewa/upepo/gas so husambaa within seconds tu.
Manipulation ya milango ina matter sana hapo na inakua nzuri zaidi chooni ukimshauri tajiri afunge extractor fan pia (ya umeme au forced air)