Wakuu naombeni msaada wenu hapa nipo salama au nimeshanasa?

Kula maisha mzee, hili halihitaji ushauri maamuzi ni yako.
Yaani mwanamke naye ana kushinda.
 
We chalii c juz hapa umesema una singo maza mmoja untaka umuoe 😂
 
Kuna mstari wa nick wa pili huwa unanikera sana

Anaimba "demu wako four na wewe mwenyewe four mnalala mnawaza rav four"
 
Uchukue likizo bila malipo for 2yrs muende abroad😳😳...noma sana
awe na kazi moja tu ya uchakataji!
AHAHAHHHAHAHA ila watu wanarahisisha mahusiano na maisha siku hiziii!

Yani tu out of blue mtu uache kila kitu chako kisimame kisa mpenzi amesema twende abroad!

AlooH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…