Wakuu naombeni mtu anayetumia gb whatsapp mpka leo anisaidie

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Salamu wakuu

Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
 
Sajili namba mpya tuu kwa ajili ya wasap
 
Ili kuepuka usumbufu, tumia tu Official Watsup.
 
Aiseee wale wapakistan sijui waindia wamalize tu tofauti zao na official whatsapp maana hali ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…