Wakuu naona kama town (Dar) kumekuwa na matumizi mabaya ya ving'ora

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wazee inakuwaje siku hizi unaweza kuwa unapita zako labda Maandazi Road mara ghafla V8 inawasha king'ora ili mumpishe.. yaani imekuwa kero kubwa. Wakazi wa Dar wanakutana na ving'ora vingi kwa siku. Ifikie sehemu mamlaka zinazohusika zidhibiti hii hali.

Kwani idadi ya viongozi au watendaji wa serikali wenye haraka imeongezeka? Kama vipi ving'ora viwekwe kwenye magari yanayokidhi vigezo vya kusheria. Au kama vipi sheria ifanyiwe marekebisho kupunguza idadi ya wanaostahili kupita na kung'ora.
 
Siku hizi jadi adisa wlimu msingi nae anataka kupishwa chap kwa haraka..🤣🤣🤣
 
Ukiona matajiri wameweka serikali mfukoni ni hii ya Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…