Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Kuku wangu mwenyewe, kamba ya nini?Yaani babu hujaacha tu kurubuni wajukuu.😄

Hebu kuja pande hii babuyo akupe dawa za manyanyaso ya ving'ora pori

Kwa kuwa wote alionipa baba, sitampoteza hata mmojaHebu mwache huyo aende zake