Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Ipo ya kufundisha masomo hayo kwa kiarabu utafutwe?Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza.
Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba.
Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary.
Mawasiliano :0658124288
Mkuu Mimi naweza kufundisha Islamic Knowledge Ila kiarabu hapana MkuuIpo ya kufundisha masomo hayo kwa kiarabu utafutwe?
Bado nafatilia
Yes Mkuu Ila tunaweza kupeana fursa ambazo zipo AvailableMm niko Unguja, unataka kazi ya ualim tu?
Ok nakuchekYes Mkuu Ila tunaweza kupeana fursa ambazo zipo Available
Professional yangu ni Mwalimu wa secondaryOk nakuchek
KwaniniLabda kama wewe ni Muislamu!
Amen Mungu amsaidie apate anachotafuta
OkayLabda kama wewe ni Muislamu!