Sijui kwako, ila kwangu ilikuwa ni case tofauti. Maumivu yalikuwa makali sana ila hazikuwa zimevimba. Hospital walipima na kupima ila nilikuwa mzima. Sasa ikawa ni mwendo wa kujaribu hospitali tofauti tofauti, nikaja kukutana na doctor wa kihindi mmama wa karibia 50 years.
Baada ya kukuta sina tatizo akanipa dawa za maumivu halafu akanitania tu wakati natoka, have more sex. Kiukweli kabla ya hili tatizo nilikuwa sija have sex karibia miezi minne ndo tatizo likaanza kwa hiyo hapo ilikuwa mwezi kama wa 5 kwenda wa sita.
Akili ikanicheza huenda yuko sahihi maana ni miezi sasa. Basi baada ya kufanya kwa siku tatu mfululizo nikapata relief na hatimae maumivu yakaisha kabisa. Ila hizo korodani huwa zinauma sana.