Wakuu ni nani amewahi kukopa benki ya NBC?

Wakuu ni nani amewahi kukopa benki ya NBC?

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Mada hapo juu wakuu.
Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada


 
NBC ni ile yule Mheshimiwa aliyowauzia makaburu? Nenda tu NMB kesho utanishukuru.
 
Sasa wanafanyaje kazi kama mambo yapo hivyo? Kwamba wanazidisha made kwa wateja?
 
Back
Top Bottom