Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Nilijua draft kipindi nina miaka 12 nadhani draft ni kipaji.
Kwanza draft haitakiwi ufikirie sana.
pili kabla hujasukuma kete mtazame usoni mpinzani wako.
Tatu kabla ya zamu yako kucheza usiangalie sana wenzako wanavyo cheza.
nne usicheze na watu wasio na viwango utadumaza kiwango chako.
mkuu hesabu za darasani na za draft tofauti kabisa ,Nikiendaga vile vijiwe vya draft nawakutaga jamaa vilaza tu kwenye hesabu alafu sisi tunaojua,log,matrix na ndugu zake kina probability tunafungwa tu binafs naupenda sana huu mchezo mpaka nimedowload game kwenye kitekno bt kila siku nafungwa tu.
acha kujidai upo serious sana na maishaTafuta pesa aisee, draft linakusaidia nini?
dalmax habadiliki, mchezo uliomfunga kama unaukumbuka ukipita miguu ile ile naye anakuja vile vile kama ulivyomfunga mwanzoNajipa big up maana huwa naweka level ya 100 kwa Dalmax checkers namkalisha mi binafasi kwa sasa nipo level ya juu sana,
Nilianza kucheza draft nna miaka 10.
haya maneno hutumiwa na beginnersKaka mimi nimeshawahi kuiwakilisha Tz kwenye michezo ya jumuia ya Madola kwa mchezo wa draft, usinichukulie poa
Kwa kutumia nadharia za draft nahitimisha kwa kusema katika draft wewe ni kilaza. (hujui draft), nadhani hata kwenye Math unaweza kujua kukokotoa tu, ila hujui kuitumia.Hahahaahahaaa kwanza darasani somo la hesabu ulikuwa unapataje???
Amini nakuambia mabingwa wote wa draft wanajua hesabu hata km hawakwenda shule.Draft ni mchezo wa Akili na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ndo wanashinda otherwise utakuwa mchezaji wa Copy flani na ikipanguliwa kdg unafungwa vby sana
Jifunze golf mkuu!Wasalaam wakuu.
Nimejaribu njia nyingi, kuangalia tutorials,Kucheza online, kudownload checkers, kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu.
Hivi hakuna app ya kunifunza strategies step by step?
Kila siku nachekwa kijiweni hadi naona aibu kuomba mechi.
Ukija kujua draft utaelewa.Hicho kipengele cha tatu upo sahihi hayo mengine nayaacha kama yalivyo
Mzee naona umekomaa na hiki kipimo cha draft.Narudia tena hakuna uhusiano wowote wa hicho unachosema. Kujua draft ni kipaji tu kama vipaji vingine kama kupiga danana, kuruka sarakasi, kuchekesha nk.Uhusiano upo tena mkubwa
Kuna watu wana akili sema wameaminishwa ni wajinga hivyo wameishi maisha yao yote wanaamini ni wazito darasani...
Namjua mtu ambaye alikuwa kati ya mwisho darasa la kwanza mpk la 5 halafu la sita na darasa 7 ndo anakuja kuwa kinara mnagombania nafasi za mwanzoni.Ni wasababu wamechelewa kujua uwezo wao
Kuna watu wana uwezo ila wanaamini hawana hao ndo wanakujaga kuwa wazuri kwenye draft wakati darasani ni wabovu.Kama unalijua draft vzr utakubaliana na mimi mwenye uwezo mdg wa kufikiria hawezi kuwa bingwa wa draft...
Heeee....., Sio kwa mashushu hayo loooh, shushu la Xmas , nimeshushukaje mie Mchina wa Nzovwe?acha kujidai upo serious sana na maisha
draft ni burudani kama ilivyo michezo mingine, kama huuelewi tuachie sisi tunaouelewa
Halafu nyie wanyakyusa mna-inferior za kishamba sanaHeeee....., Sio kwa mashushu hayo loooh, shushu la Xmas , nimeshushukaje mie Mchina wa Nzovwe?
Huu nao uzi!!!!???? JF inaelekea wapi!?Wasalaam wakuu.
Nimejaribu njia nyingi, kuangalia tutorials,Kucheza online, kudownload checkers, kucheza na watu lakini mara nyingi naishia kula za uso tu.
Hivi hakuna app ya kunifunza strategies step by step?
Kila siku nachekwa kijiweni hadi naona aibu kuomba mechi.
ndo wapi?Karibu dominoes
KuzimuHuu nao uzi!!!!???? JF inaelekea wapi!?