Wakuu nifundisheni maneno magumu ya kiswahili ambayo tunapaswa kuyaongea lakini hatuongei. Sitaki kuwa mjinga wa Lugha hii tamu

mlejee = mrejee
 
Umbuji - Uwezo mkubwa wa kushawishi.
Watu wenye umbuji wakiamua kupotosha Taifa litaangamia
 
Kitoto cha ng'ombe = ndama, kitoto cha kuku = kifaranga, cha kondoo kinaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…