Wakuu nimeachwa mwenzenu

Ukiachwa achika mzee.

Kwani huyo ndio mwanamke pekee duniani, piga bunda ishi maisha yako, kulia lia huko kutakutia maradhi, ufe kijinga wenzio wanaendelea kutafuna tunda duniani.
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Mkuu I had the same experience miaka 3 iliyopita, nilimpenda, nikawekeza muda na kila kitu kwake kwa miaka zaid ya 4. Over a sudden akakutana na mtu akiwa financially ok kuliko mim,kumbe za bro wake, finally bidada akanitosa. Nami nikakubali kutoseka! Miez 2 baadae akaolewa kwa mbwembwe nyingi nikiona picha fb, before nilimsihi sana, ila nliishiwa kupewa kebehi mana hatukugombana. Nikaamua kunyoosha mikono na kuendelea na maisha yangu. Huwezi amin nimeopoa chombo cha hatari na zaid yake, fasta nikaweka ndani. Mambo yamemuharibikia huko, ndoa haiendi na kakutana na maisha halisi, kanitafuta kaliaaaaa, nimemshauri avumilie, hiyo ndio ndoa na apambanie ndoa yake. So relax, inauma sana but with time you will be healed and forget about her! Gud lucky mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipendwa pendeka, ukiachwa achika.
 
Jambo la msingi endelea kunawa maji tiririka na sabuni ili ujikinge na maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19
Usisahau kuvaa Barakoa zilizothibitishwa na wataalam pindi unapoenda sehemu zenye mikusanyiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza umekaa sana apa njia panda unatuzia, kata kulia au kushoto, kuna maisha baada ya kuachwa,
Ushauri, usipoteze muda kwenye kitu ambacho sio cha kwako
 
Mkuu Quentin Beck Kwanini umrushe roho mwenzio kwa ku'quote?

Ila atakua hajaenda mbali na hili jukwaa.
Kuna mwana ameng'oa humu humu.
Beware na PM


Satan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…