Wakuu nimeachwa mwenzenu

Wakuu nimeachwa mwenzenu

Tafuta hela wewe halaf chukua dem mkali kuliko yeye
 
Nilizama mazima mkuu kwakua niliuona upendo wake uu dhahiri juu yangu. She's my first option nampenda ila naona yeye ananipenda kupitiliza ndio maana kaamua kukaa pembeni ili asiumie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute Mkuu,ndo ushauri wangu bado hajakuacha amepumzika tu, na isitoshe nawewe jirekebishe inabidi itambue hapendi kipi na kipi anakipenda basi shida unweza kuwa ni wewe.
 
Kwa hapa nakupa tano mkuu. Mi nikishaona mambo hayaeleweki naanza kukaa attention mapemaa [emoji23] [emoji23] akija kuanza eti ooh tuachane sijui nininini namwambia safar njema.
Umejifunza nini baada ya kuachwa? hykuona hata dalili za kuachwa? Next time jifunze kusoma alama za nyakati uwe mbele ya matukio, hutaumizwa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona inatisha
IMG_20200427_192155.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu inauma sana mimi maumivu ya Ulcers na moyo yanechanganyika sijui kama nitasavaivu. Maisha hayana maana tena, anajua ninamoyo mwepesi ila ndio ananiua sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom