Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
kumbe mko pamoja humu we bwege?
sasa si ungefungua akaunti 2 halafu nyingine ndio unafanyia uharamia nyingine unakua mlokole ambayo anaijua yy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe mko pamoja humu we bwege?
Mtafute Mkuu,ndo ushauri wangu bado hajakuacha amepumzika tu, na isitoshe nawewe jirekebishe inabidi itambue hapendi kipi na kipi anakipenda basi shida unweza kuwa ni wewe.Nilizama mazima mkuu kwakua niliuona upendo wake uu dhahiri juu yangu. She's my first option nampenda ila naona yeye ananipenda kupitiliza ndio maana kaamua kukaa pembeni ili asiumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoo, pole sana
Na nakuombea usifikie hapa. Mwanaume anatakiwa ajitambue sio kulia lia ovyo mbele ya watuSiku nkifikia level hii ya ujinga nitaachana na masuala ya mahusiano.
Sijui kwann watu wanaamini zaidi pesa ktk mapenzi,so sad[emoji27]Utapokuwa utaelewa mapenzi ni zaidi ya Pesa.
Amen amen. Huko hapatakiwi kabisa ni kwawatu wasiojithamini wao wenyewe kwanza.Na nakuombea usifikie hapa. Mwanaume anatakiwa ajitambue sio kulia lia ovyo mbele ya watu
Yeah af mapenzi hayalazimishwi, ukiona umepigwa chini unatulia unaangalia ustaarabu mwingime wa maishaAmen amen. Huko hapatakiwi kabisa ni kwawatu wasiojithamini wao wenyewe kwanza.
Umejifunza nini baada ya kuachwa? hykuona hata dalili za kuachwa? Next time jifunze kusoma alama za nyakati uwe mbele ya matukio, hutaumizwa tena.
I rather die than to live without this womna.
Sikutegemea kua mimi ipo siku nitalia kisa mapenzi
I don't deserve this
Sent using Jamii Forums mobile app